Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,157
- 7,822
Ngoja nkatafte odds 50
Za 3+
I will be your guest Amigo
Ngoja nkatafte odds 50
Za 3+
1Xbet nimewapenda mnoooo....vipi ku withdraw hawana tatizo?Naona jana niliwajaribu kwa Odds mbili mbili mikeka mitatu yote niliwapiga. Ki ukwel wana option za pesa
asee odds 4 for today zinanitosha kabisa.. ugonjwa wangu wa games nyingi nachanganyikiwa haujaisha.Pole sn Chief ... hauko peke yako.
Kwenye account 1xbet ilibaki 5,000/= nilitaka niongeze lkn imeshindikana, itabidi nipambane na nilichonacho. Leo ndo ukiskia kutafuta laki 5 kwa buku ... hahahah
Mkuu namba ya Mlipa pleasedaa voda washafanya yao 1xbet. SMS haijaja na pesa haijasoma kwa account. nimewasiliana na m lipa wamenambia hawawezi fanya chochote bila namba ya muamala, voda nimewasiliana nao wanadai kunatatizo la kimtandao kuwa tatizo linashughulikiwa ndani ya masaa 72. yaani kuna uwezekano Leo nisibet kabisa maana hawa voda wangese kweli
Ukiclick hiyo option! Unajaza namba ya simu ikianza na Mfano: 255 714 1...........! Then Minimum amount, baada ya hapo unakamilisha process. Then unaenda kwenye menu ya Kawaida ya Tigopesa unaclick namba 4, then kumbukumbu namba 400700 then unaandika 0081bet then kiasi ulichoingiza mwanzoni! Unamalizia na password, muamala unakuwa umesoma!Msaada jinsi ya kudeposit 1Xbet kwa tigopesa
Leo nimedoposite hivo Voda hawajanirudishia SMS ila pesa imekatwa, kweny acc pesa haijafkaUkiclick hiyo option! Unajaza namba ya simu ikianza na Mfano: 255 714 1...........! Then Minimum amount, baada ya hapo unakamilisha process. Then unaenda kwenye menu ya Kawaida ya Tigopesa unaclick namba 4, then kumbukumbu namba 400700 then unaandika 0081bet then kiasi ulichoingiza mwanzoni! Unamalizia na password, muamala unakuwa umesoma!
Natumaini utakuwa umenisoma, siyo expert sana wa 1xbet ndiyo nimeingia leo! Quoted
Hilo mm mwnyw linanipa tabu kweli kweliwadau 1xbet mechi za siku mnafanyaje ili zote ziwepo kwenye ukurasa wa mbele zote bila kuanza kuzisaka moja moja kwenye nchi.
Mkuu uliadimika sana, sijui ni vichapo vya kanji vilikupoteza ?Leo ni siku ingine tena
Mapambano yanaendelea
ni rahisi na ningumu pia. maana throwin huwa zinakuwa nyingi hapana mfano labda uende na bahat mkuuJamani nimefatilia hii option huko 1xbet ,1minute events
Mfano throw in 2.00-2.59
Ukaweka NO
naona kama uwezekano ni mkubwa sana wa kushinda
Odds zao 1.7,1.83 nk.
Nimeweka timu 12 imeleta odds 591
Maoni yenu wakuu , kuna aliewahi jaribu hii option,
Kesho ntawapa mrejesho waa jaribio langu
View attachment 689638
Hii option ni nzuri me nshaifanya ndani ya dakika moja unapiga mtonyo ila usiweke team nyingi weka team mbili hadi nne mfano no throw in ina odds hadi 2.1 au no free kick ina 1.3 ndani ya 00.00 - 00.59 seconds mpira unapoanza kwa team zinazocheza mpira kama Barcelona au man city hii option inalipaJamani nimefatilia hii option huko 1xbet ,1minute events
Mfano throw in 2.00-2.59
Ukaweka NO
naona kama uwezekano ni mkubwa sana wa kushinda
Odds zao 1.7,1.83 nk.
Nimeweka timu 12 imeleta odds 591
Maoni yenu wakuu , kuna aliewahi jaribu hii option,
Kesho ntawapa mrejesho waa jaribio langu
View attachment 689638
Hilo n kweli mkuu,Kuna siri kubwa nyuma Betting, wana connection kubwa sana na wachezaji na timu.bwin bet,bet365,william hill,betfair hizo kampuni hatari sana ila tunakomaa nao hivyo hivyo.
kuwa makini kubet nchi hizi greek,turkey,brazil,chile,argentina na italy inshort ligi zote za south america wana michezo michafu sana