Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ligi zenye upumbavu wa kupanga matokeo ni uturuki,ugiriki,brazil na italy,juventus na rangers walipanga matokeo ktk ligi zao ikaja kugundulika wakashushwa daraja mpaka mchangani.
Spain,epl hawana ujinga wa kupanga matokeo maana wanajua balaa lake
we jidanganye,el clasico refa alijitoa baada ya kutakiwa kuipendelea Madrid,anfield kuna game ya uefa matokeo yalipangwa,EPL kuna jamaa alirekodiwa akidai hupanga matokeo hata huko..we unafikiri kwa nini Ferguson alikua anapendelewa?
 
Screenshot_20180203-012937.png
Screenshot_20180203-012927.png
Screenshot_20180203-012937.png
Screenshot_20180203-012927.png
 
WALIOFWATAAA TUMSHUKURU MUNGU KESHONAYOSIKU ZIKONYUMA HUKO MARANGIRANGI
Screenshot_20180203-024507.png
 
Daah naona 1xbet wameondoa huduma ya kupush msg hivyo yaani pesa isipo fika ni shida tupu wameingia hawa e lipa makato hayapo ila sasa ukilipa mpaka ukadhibitidhe kwenye web na kwenye web network ikizingua ndo basi hakuna kurudia tena
 
Wazee wa JACKPOT kumbe huku 1x bet ipo minimum stake 1500
Screenshot_20180203-073026.png
 
Daah naona 1xbet wameondoa huduma ya kupush msg hivyo yaani pesa isipo fika ni shida tupu wameingia hawa e lipa makato hayapo ila sasa ukilipa mpaka ukadhibitidhe kwenye web na kwenye web network ikizingua ndo basi hakuna kurudia tena
Bado ipo huduma ya kupush msg, ila ukifungua meanzo wanakuletea hii ya elipa, funga fungua upya itakuja hii ya kupush (USSD)
 
Mi imeniokoa mno mi mwenyewe acc yangu ingekuwa chali saiz, huko saiv unatafut match hat tano za uhakika unajipigilia hapo, mi nataka tu nikuze mtaji aisee mhind kanichapa mno.
lacky bet bdo ipoje mkuu?
 
Bado ipo huduma ya kupush msg, ila ukifungua meanzo wanakuletea hii ya elipa, funga fungua upya itakuja hii ya kupush (USSD)
Nimelipa kwa e lipa nilipotakiwa ku corfm kwenye web network ikazingua nilipo rudia wakanipa namba ya kumbukumbu tofauti so kitu kijasoma na hao e lipa mamba wameweka kwa ajiri ya msaada ni ya kenya
 
Back
Top Bottom