Wapigie uwazingueSure, leo M-Pesa wana ttzo la kimtandao nn? ... nimedeposit nusu saa iliyopita mpk saiv sijapata sms ya uthibitisho wa malipo.
Uzilete mkuu tupige mi peisahNgoja nkatafte odds 50
Za 3+
Hapo majibu ya voda watasema ni mtandao tu,. Kama kuna mdau atafanikiwa kudeposit na voda atujuze, tusije wekeza pesa yetu voda mpaka jumatatuWapigie uwazingue
game gn mkuu au zoteKaziwahi basketball za Korea weka over 180.5
Naona leo Voda wamenikosesha mpunga, kudeposite imekuwa issue
twakusubiriiii mkuuu✍️Ngoja nkatafte odds 50
Za 3+
Tz makampuny yanayohudumaSure, leo M-Pesa wana ttzo la kimtandao nn? ... nimedeposit nusu saa iliyopita mpk saiv sijapata sms ya uthibitisho wa malipo.
Mimi nimefanikiwa ila kwa hiyo e lipaHapo majibu ya voda watasema ni mtandao tu,. Kama kuna mdau atafanikiwa kudeposit na voda atujuze, tusije wekeza pesa yetu voda mpaka jumatatu
Ngoja nkatafte odds 50
Za 3+
Haina shda mkuu nakuja nazo hapaUzilete mkuu tupige mi peisah
Nimekuelewa sana mkuuHaina shda mkuu nakuja nazo hapa
Aiseee Pole sana mkuudaa voda washafanya yao 1xbet. SMS haijaja na pesa haijasoma kwa account. nimewasiliana na m lipa wamenambia hawawezi fanya chochote bila namba ya muamala, voda nimewasiliana nao wanadai kunatatizo la kimtandao kuwa tatizo linashughulikiwa ndani ya masaa 72. yaani kuna uwezekano Leo nisibet kabisa maana hawa voda wangese kweli
Tz makampuny yanayohuduma
kimtandao n zaid ya ma 4 Ila
Hakuna cku wanaisshiwa makosa
Yan anytime mtandao unafel
Sasa cjui n kumaanisha makampuny
Yote yanalemewa na wateja ama nn
Lkn Kenya kampany inayohumdumu
Kwenye kuoparet maswala ya pesa
Kuweka,kutoa,kudepst,ku withdraw,
N safaricom ndo umeshikilia
Nchi nzima ya Kenya yan 97%
Wao ndo wameshikilia kenya
Na hakuna sku utaskia kuna ttz
La kimtandao maybe waseme
wanafanya serves
Hou comes tz makampuny n zaid ya 5
Lkn ttz hua haliish kila sku ndo
Mattz yanaongezeka
Naomba namba ya mlipadaa voda washafanya yao 1xbet. SMS haijaja na pesa haijasoma kwa account. nimewasiliana na m lipa wamenambia hawawezi fanya chochote bila namba ya muamala, voda nimewasiliana nao wanadai kunatatizo la kimtandao kuwa tatizo linashughulikiwa ndani ya masaa 72. yaani kuna uwezekano Leo nisibet kabisa maana hawa voda wangese kweli
Meridian wana turbo (cash out)Msaada ni company apart from 1xbet gani ya bet inakupa option ya kusell odds
Mkeka bet lakn ina option za ajabuMsaada ni company apart from 1xbet gani ya bet inakupa option ya kusell odds
daa voda washafanya yao 1xbet. SMS haijaja na pesa haijasoma kwa account. nimewasiliana na m lipa wamenambia hawawezi fanya chochote bila namba ya muamala, voda nimewasiliana nao wanadai kunatatizo la kimtandao kuwa tatizo linashughulikiwa ndani ya masaa 72. yaani kuna uwezekano Leo nisibet kabisa maana hawa voda wangese kweli