NILIRUSHIWA NKAOGOPA KUWEKA ...KESHO TUOMBEANE UHAI...![]()
Naam mkuu kidogo speed yao imepungua lakini mie bado NAWAAMINI,kama game ya leo walikua vikapu -13 ndo nikawekeza, inataka moyo kwa kweli.Ukitaka muhindi akumalize, basi betia NBA GSW.... sasa hivi wamekuwa hawaeleweki kabisa trend yao, unaweza ukalia na kujiuliza hawa ndiyo wale ninaowafahamu na hapa hawana majeruhi kabisa.
Ngoja nitafute mtaji nirudi inplay NBA.
Dah! Odd 14 zimeniuma aiseeMpaka mate yamenitoka
TigopesaMkuu umedeposite kwa. Njia gani maana mm inanigomea
mkeka wa lunch wadauu
Ukitaka muhindi akumalize, basi betia NBA GSW.... sasa hivi wamekuwa hawaeleweki kabisa trend yao, unaweza ukalia na kujiuliza hawa ndiyo wale ninaowafahamu na hapa hawana majeruhi kabisa.
Ngoja nitafute mtaji nirudi inplay NBA.
15001xbet minimum deposit ni sh ngapi wakuu
1500
Kaziwahi basketball za Korea weka over 180.5
Naona leo Voda wamenikosesha mpunga, kudeposite imekuwa issue
Kuna aliyefanikiwa kudeposit hela leo 1xbet maana naona kwangu msg za voda hazirudi