Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale wazee wa 1xbet

Ushaur wenu before nilipuke hapa

4b7003f79d067c47f339ede983d8192b.jpg
Mkeka umetulia

Wasiwasi kdg labda kwa alaves.

Ila wengn wote naona wako poa sana
 
Mkeka umetulia

Wasiwasi kdg labda kwa alaves.

Ila wengn wote naona wako poa sana
Ahsante mkuu najifumba macho
Maana nmekosa mwingine mwenye
Hyo option ndo maana nkamuweka
Alaves
 
Mkuu uliadimika sana, sijui ni vichapo vya kanji vilikupoteza ?
Niko safar mkuu,

Mombasa bay, Kenya.

Almost wiki 2 sahv Niko uku,

kuna mizigo yangu nimeship kupitia hii bandari ya mombasa.

Kwahyo mda mwng nakua bize kwny mzunguko ya hapa na pale kushughurkia mambo ya clearance,ushuru, migration n.k hapa bandarini.

Sijapata tu wasaa wa kutulia vizur km Sikh za nyuma.
 
Mkuu namba ya Mlipa please
Daa na mm pia msg haijarud ya voda na account inasoma vile vile
Tip,

Wale wenzangu wa 1xbet

Mpe Bournemouth ushindi wa corner mwanzo mwisho

Stoke akiwa away ni mtepeto sana na muoga sana kushambulia

Bila shaka inaodds tamu sana

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyo option hamna anaiweza proffeser

Ngumu kumeza kweli hii

Siku za weekend mara nyingi huwa kuna usumbufu wa kudeposit katika kampuni za kubet kupitia mitandao yetu ya simu sijui ni kwa sababu wanaelemewa sana au vipi.

Wenzangu tusiopenda presha.

Leo Mzee wa kuinamisha uwanja, mbinafsi wa kutoa ushirikiano ktk coroner.

man city fc EPL yuko ground

1.Ushindi wa corner mwanzo mwisho kwa city
(HT/FT)

2. Pia ushindi wa faulo nyingi kwa burnely

3. Pia double chance ya ushndi wa yellow card kwa burnely.

Hajawahi niangusha guardiola ktk hii option

Nb:
epuka kubet direct 3way win ktk mzunguko huh wa pili wa ligi ya EPL

KIZURI NI KULA NA NDUGUYO
 
lleo nitakuwa mpenzi mtazamaji, walichonifanyia voda nimeishia kuchambua Tim tu
Najilaumu ningesoma comment kabla ya kudeposit yasingenikuta nilijua kama kawaida iko fresh kumbe leo voda network yao ovyo.
Mkuu umepotea sana, msimu huu unajitokeza mara moja moja mno na unajitokeza na kokoro tu.

Karibu sana

Mkuu namba ya Mlipa please

Msaada jinsi ya kudeposit 1Xbet kwa tigopesa

Jamani nimefatilia hii option huko 1xbet ,1minute events
Mfano throw in 2.00-2.59
Ukaweka NO
naona kama uwezekano ni mkubwa sana wa kushinda
Odds zao 1.7,1.83 nk.
Nimeweka timu 12 imeleta odds 591
Maoni yenu wakuu , kuna aliewahi jaribu hii option,
Kesho ntawapa mrejesho waa jaribio langu

View attachment 689638

ni rahisi na ningumu pia. maana throwin huwa zinakuwa nyingi hapana mfano labda uende na bahat mkuu

Itabd ukomae nacho hvo hvo
Maana nchi unywe hii haielewek

Niko safar mkuu,

Mombasa bay, Kenya.

Almost wiki 2 sahv Niko uku,

kuna mizigo yangu nimeship kupitia hii bandari ya mombasa.

Kwahyo mda mwng nakua bize kwny mzunguko ya hapa na pale kushughurkia mambo ya clearance,ushuru, migration n.k hapa bandarini.

Sijapata tu wasaa wa kutulia vizur km Sikh za nyuma.
 
1xbet wananiboaga na
Game zao yan Hawana mtirirko mzur wa kupata game Kwa urahis

Unatafta mara ukose mara upate
Tabu tubu
 
kuna mdau hapo juu amesema kuwa amefanikiwa kudepost kwa kuwatumia e lipa, napo nimejaribu pia nimeingia kingi hela haijaingia wala SMS sijaletewa. yaani hapa kichwa kinavuruga kazi zimegoma kbx bora nikalale
Wakuu nimejaribu kufanya kautafuti ktk swala la kuweka pesa na kutoa pesa huko 1xbet nikagundua yafuatayo.

1.kama unahitaji kuweka pesa vizia saa 6 usiku na kuendelea utaweka pesa vzr tu au utatoa vzr tu bila tatizo.

3.kale ka option ka Lucky muhindi amekaficha sana ilitusikaone lakini baada ya kutonywa na mkali mmoja basi muhindi aanze kuandika maumivu
 
Hyo option ya lucky hata premierbet wanayo mbona.

Back
Top Bottom