Tayartuletee tena..
Mkuu nimetumia tigo kwa push up sms nikalipa lakini nusu saa sasa kitu hakijarefrect japo sms zimeshakuja muamala umefanikiwaHahahaha "shithole" ... Trump huyu, daaah !
Wakuu mbona wadau tumesema toka asbh kuwa m-pesa iko na shida leo. Tutumie Tigopesa ama Airtel money.
Mkuu nimetumia tigo kwa push up sms nikalipa lakini nusu saa sasa kitu hakijarefrect japo sms zimeshakuja muamala umefanikiwa
Au bado sijamaliza process?? Maana nililipa kwa dusu mpaka utume tena zile namba za muamala ili kitu kisome
Fuata hatua hiziView attachment 689703![]()
1. Weka kiasi
2.email yako ila utakuta wameshaiandika
3.namba ya simu yako anzia na +2
4.corfirm
5.itakuletea maelezo namba ya kampuni ni 261144
Watakupa namba ya kumbukumbu haifanani hata utaporudia kudpst wanakupa nyingine.ukishafanya malipo utatumiwa msg ila usifunge ule ukura wa maelezo maana baada ya malipo utarudi ku corfirm malipo bonyeza mara moja tu usibonyeze zaidi baada km sec 5 hiyo page inajifunga na fedha inasoma kwenye ac yako
Mkuu tuambie hiyo lucky ameificha wapiWakuu nimejaribu kufanya kautafuti ktk swala la kuweka pesa na kutoa pesa huko 1xbet nikagundua yafuatayo.
1.kama unahitaji kuweka pesa vizia saa 6 usiku na kuendelea utaweka pesa vzr tu au utatoa vzr tu bila tatizo.
3.kale ka option ka Lucky muhindi amekaficha sana ilitusikaone lakini baada ya kutonywa na mkali mmoja basi muhindi aanze kuandika maumivu
Naomba namba yao ya whatsappht mimi walisema nayo nikachati na jamaa yao whasap wakailudisha
Reference number n account numberMkuu tatizo hapo kwenye reference number sijaona pa kuiweka kwenye menu ya voda
Pale palipoandikwa accumulator ukiclick itatokeaa luckyMkuu tuambie hiyo lucky ameificha wapi
Kwahiyo ukishaweka mkeka ndiyo unaenda accumulatorPale palipoandikwa accumulator ukiclick itatokeaa lucky