Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Wadau league ya Tanzania naweza bet kampuni gani
Kasha mpa kanj mtajiSevilla duuu
Ooh okay mkuu kila la heri huko mkuuNiko safar mkuu,
Mombasa bay, Kenya.
Almost wiki 2 sahv Niko uku,
kuna mizigo yangu nimeship kupitia hii bandari ya mombasa.
Kwahyo mda mwng nakua bize kwny mzunguko ya hapa na pale kushughurkia mambo ya clearance,ushuru, migration n.k hapa bandarini.
Sijapata tu wasaa wa kutulia vizur km Sikh za nyuma.
Mkuu tatizo liko kwa beyonic au ni Voda maana niliwapigia voda wakasema Network yao mpesa inasumbua wanarekebisha ndan ya 24 hrsWadau naona sasa Beyonic inakubal nimefanikiwa kulipa 1xbet
Sevilla duuu
Amina sana mkuuOoh okay mkuu kila la heri huko mkuu