Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nlkuwa kijijin skuwa hewan nkajlaumu sjafanya uwekazj.leo lakni kilio cha humu ndani kimenifanya nisjalaumu.lakin tupeane moyo tutafute tmu moja tu ambayo haitafunga wala kufunga weka 10k hutojuta
 
PSG na Bayern naona wameamua kuchoma nyumba kwa over 2.5.... Hizi high profile teams ndiyo maana huwa nazipotezea sana, unakuta odds kiduchu lkn mkeka utachanika
 
Leo nlkuwa kijijin skuwa hewan nkajlaumu sjafanya uwekazj.leo lakni kilio cha humu ndani kimenifanya nisjalaumu.lakin tupeane moyo tutafute tmu moja tu ambayo haitafunga wala kufunga weka 10k hutojuta

Usijilaumuhatasikumoja jmosi
Binafsi nilikuwa namuaga mwanamuziki mowzey radio nilipotoka najianda kwa majeshi nilichokutaana nacho nilimshukuru Allah swabhan mana naingia hotel nakuta mancity anajokolewa kamoja aisee ..snkazima na simu nkwenda kuzurura ndionarudi naona jmosi hataree
 
Leo nlkuwa kijijin skuwa hewan nkajlaumu sjafanya uwekazj.leo lakni kilio cha humu ndani kimenifanya nisjalaumu.lakin tupeane moyo tutafute tmu moja tu ambayo haitafunga wala kufunga weka 10k hutojuta
Ningeshauri urudi jtatu maana kesho n nusu ya matukio ya leoo
 
So mchezo watu wameumizwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…