TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,764
- 1,836
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa kama arsenal
BET woooon ! Shemeji salama salmin [emoji28] [emoji28]
Pamoja 1 mpwa kamakawa kutagiana muhimu..kwaniaba ya zidane nawatakia usikumwemaPoa Poa kesho nitaleta tena odds 10 hv
Hela ishaingia mkuu D.pond, hiyo option hukuielewa, nilisema "under 1.5 goals @ half No" yaani chini ya goli moja kila kipindi, nikakataa No. Angalia vizuri mkuuPole sn mkuu.....
Hilo kokoro ni Bet lost mkuu,
PSG kaharibu sherehe
Niliifata kwa kumnyofoa PSG.
Wamegoma kutoa over 1.5 first half
PSG wametoa goli 1 tu halftime
Wakati wewe uliweka
"under 1.5 first half-No"
Angalia vzur bet slip yako mkuu
Mia mia, usiku mwemaPamoja 1 mpwa kamakawa kutagiana muhimu..kwaniaba ya zidane nawatakia usikumwema
Man utd nae kaharibu hyo shughuliBET woooon ! Shemeji salama salmin [emoji28] [emoji28]
Oooh.....Hela ishaingia mkuu D.pond, hiyo option hukuielewa, nilisema "under 1.5 goals @ half No" yaani chini ya goli moja kila kipindi, nikakataa No. Angalia vizuri mkuu
Man utd nae kaharibu hyo shughuli
Uliweka
"under 1.5 at halftime-No"
Jamaa wametoka 0:0 half time
Goli zote zimeingia second half
Nmekupata mkuuPole mkuu,inaonekana hukunielewa lugha, @=each, angalia hapo timu ya mwisho
Yes, mkuu nitaandika kwa kirefuOooh.....
Basis mm ndo nlichanganya madesa.
Kumbe wewe ulibet
"Under 1.5 each half-No"
Dah,
Basi mkuu lugha ulotumia ilkua ngumu
NEXT TIME UWE UNAANDIKA KWA KIREFU MKUU KWA FAIDA YA WOTE
Amina sana!Yes, mkuu nitaandika kwa kirefu
Potelea mbali ...
HanamaaanakabisaLeo Philadelphia katufanya kitu mbaya aseeeh, pole sana