Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Every little helps brothers.
d91df3dba8e8566f8fcee64833b21b8d.jpg
 
Hivi hii Clean sheet inamaana gani? Au ndio wachezaji wakitoka uwanjani wakafue mashuka? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nan amefanikiwa Ku withdraw
1xbet akioparet Kwa upande wa Kenya
Maana naona wana ule usenge wa
Meridian unatoa pesa af inarud
kwa account
Jmn hakuna aliyewithdrwa 1xbet
Mm najarbu kutoa lkn holla
Pesa inarud Kwa account
 
Mkuu naomba proses za Ku withdraw
Labda mm ndo nakosea natumia
M pesa safaricom
Kama una bonus account hakikisha umeitumia kubet pia. Iwe na odd kuanzia 1.42 na uweke michezo kuanzia mitano. Ndio utaweza kuwithdraw
 
Kama una bonus account hakikisha umeitumia kubet pia. Iwe na odd kuanzia 1.42 na uweke michezo kuanzia mitano. Ndio utaweza kuwithdraw
Inamaana bonus account
Ikiwa ipo swez Ku withdraw
Lazma iwe haipo ndo
Niruhusiwe ku withdraw
 
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/a3313236873c70896ea1148a24e429a6.jpg[/IMG
Ombea Jiran yako Liverpool afe
 
Back
Top Bottom