Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu ttzo la jana kudeposit kwa m-pesa bado lipo?
Leo kudeposit 1xbet kwa voda inakubali faster,. Na ile mihamala ya jana naona msg za voda zinarud leo sasa tatizo ni kwa MLIPA hawajawah nijib msg yangu hata siku moja
 
Leo kudeposit 1xbet kwa voda inakubali faster,. Na ile mihamala ya jana naona msg za voda zinarud leo sasa tatizo ni kwa MLIPA hawajawah nijib msg yangu hata siku moja
Mie wamenirudishia SMS ila pesa kweny acc haujaingia msaada please
 
e3b3ab3eda4b137a873a86bf172595e9.jpg
Usijichanganye ukaweka stake kubwa aiseee kila mmoja anafix mechi et [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1X bet ktk PC kuna time betslip inapotea, naitafuta yani hata sijui ilipo, hii kampuni iko poa sana ila muonekano wa website ni shida, kuona sehemu za ku scroll page down ni ishu
 
1xbet. Advance bet sometimes inatokea na mda mwingine haitokei
 
Back
Top Bottom