Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka, naona @princessbet wamekuwa garasa rasmi na wanakaribia kufanana tu na m bet,yaani wamepunguza option nyingi balaa.
 
Let's say nina bonus ya 100,then half of that ni 50, ili kuipata hiyo hela natakiwa kuweka stake ya 50 then nikishinda tena naweka mpaka mara 5 au naweza kuigawa nikaweka 10 each time mpaka Mara 5.Nieleweshe hapo
Bonus nusu lazma ucheze 1xbet games.
Nusu nyingine lazma ucheze isipungue matches tatu kila match odd 1.4 kuenda juu
 
Leo kudeposit 1xbet kwa voda inakubali faster,. Na ile mihamala ya jana naona msg za voda zinarud leo sasa tatizo ni kwa MLIPA hawajawah nijib msg yangu hata siku moja
Mm mwenyewe msg ya voda nimeipata leo. Sasa hawa M lipa tunawasiliana nao vip maana nimechek ktk account bado haijawa updated
 
Mm mwenyewe msg ya voda nimeipata leo. Sasa hawa M lipa tunawasiliana nao vip maana nimechek ktk account bado haijawa updated
Kuna wadau humu wanasemaga wanawasiliana na Mlipa na wanajibiwa mi cjawah jibiwa , kila nikiuliza wadau humu au kuna namba tofauti watu kimyaaaaaaaaaa.
 
0713816904, 0754543624 na 0222701845 hizi namba nilitumiwa na voda niwasiliane na m lipa lakini nimezijaribu hazipatikan. sasa kama kuna mdau anaweza jaribu kwa hiyo ya mezan awatafute halafu atupe mrejesho[/QUOTE]
 
Natumia app..ntakueleza nikipata pc
Nimeshapaona kwa ku change account ukiwa na PC, vipi hizo condition za kucheza bonus account ni zip?maana niliweka game 3 mbili za direct WIN moja ya Over 2.5, imekataa kuplace bet
 
Leo kudeposit 1xbet kwa voda inakubali faster,. Na ile mihamala ya jana naona msg za voda zinarud leo sasa tatizo ni kwa MLIPA hawajawah nijib msg yangu hata siku moja
Vipi umepata Hela yako?

Mi tangu niWITHDRAW Hela jana haijanifikia M-pesa.[emoji134]
 
Princess live betting imegoma kufungua... Ni kwangu tu au kuna mwingine ka experience hilo tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…