Haya mambo bhana...siku ukikomaa huko hupati hayo matokeo. Usipokomaa huko basi yanapatikanaHuko Championship
League 1,2
Over 1.5 ilikua kunusa leo
Eti bado tumepoteza
[emoji819]️[emoji819]️[emoji819]️Liwalo na liwe stage 2![]()
Uyu psg ngoja ni sell odds ksha nimuue yeye
Mkuu goli lipo hapo. Navizia odds nzuri nijikiteStats zinamfavour PSG lkn goli halipatikani ... duuh !!!
![]()
Mkuu goli lipo hapo. Navizia odds nzuri nijikite
Nacheki game live, PSG all over.Hahahaha ... umenipa moyo, maana nlikuwa nmeshaanza kupekua kitufe cha kusell out. Huu ni us**ge anataka kuufanya
Siku ya kufa nyani huwa namna iyoStats zinamfavour PSG lkn goli halipatikani ... duuh !!!
![]()
Wapate goli ss ... mbona wanatufanyia hivi?Nacheki game live, PSG all over.
Tayari.Wapate goli ss ... mbona wanatufanyia hivi?
Tayari.
Mi nawatakia kila la kheri nimeshajitoa maana nilimpa Ov2.5Hahahaha ... umenipa moyo, maana nlikuwa nmeshaanza kupekua kitufe cha kusell out. Huu ni us**ge anataka kuufanya
HahahahDaah bora Chief ... nlitaka nikuulize hali huko unaionaje ili km vp ni Sell Out tu isiwe tabu.