Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Niliamua niwe mzee wa game tatu za uhakika. Stake Tembo ahaaaaa!!.. Sijutii uamuzi wangu.
 
Ni uamuzi mzuri sanaa.... Maana kuharibiwa na timu mojaa kumezidi
kwani kwenye hizo tatu ndo unakua umejihakikishia ushindi?

ni kanuni moja tu haijalishi umeweka timu nyingi kiasi gani au chache kiasi gani "je ulizo weka ni timu sahihi na options sahihi kwa muda huo?"
unaweza kuweka mbili moja ikachana unaweza kuweka 10 isichane hata moja
 
Mwisho wa siku ni bahatii tuu
 
Hii ndio kampuni bora kuliko zote nilizowahi kutumia
MKUU NAWEZA PATA NAMBA ZA HAWA JAMAA?MAANA NILIKOSEA KUWEKA PESA KWENYE ACCOUNT YANGU,NILIWEKA DIRECT KUTOKA MPESA BILA KUANZIA KWENYE LINK/APP YAO SASA HADI LEO SIONI CHOCHOTE,TANG TRH 29 JAN.
 
Jana niliweka timu 15
 
Attachments

  • Screenshot_2018-02-11-08-24-25.png
    Screenshot_2018-02-11-08-24-25.png
    142.3 KB · Views: 52
mm naona ukiweka kwa team chache kama tatu alafu ukaweza zile zenye uhakika alafu ukaweka mzigo wa kutosha n bora... kuliko kuweka team 10 alafu ukaweka mzigo kidogo ukitegemea wingi wa team.
 
mm naona ukiweka kwa team chache kama tatu alafu ukaweza zile zenye uhakika alafu ukaweka mzigo wa kutosha n bora... kuliko kuweka team 10 alafu ukaweka mzigo kidogo ukitegemea wingi wa team.
Jana nimewekaa mkeka wa timu 8 ukatikii... Ilaa wa Timu 4 ulichanikaaa... Soo kubet ni bahatii tuuu hakunaa timu yenye Uhakika 100%
 
ngoja leo nitest mitambo hivi
newcastle vs man u
southmpton vs livepool
barca vs getafe

ALL- 10MNS
over 0.5corner

sijui ntatoboa;😉
 
Inplay
Naona Odds nyingi wakati Half ya kwanza jamaa washashinda bado ya pili tu
upload_2018-2-11_12-14-51.png
 
Mkuu una roho ngumu sana kuweka stake ya 110,000/-!!!!!!!!!!!!!!!!
.
kbsh tu siku 1 . 1 sio kesi,odds zlkua kubwa kwa ile mech,yelow submarine n mzur almpga ad madrd ila anaconcede sna magoli
 
Back
Top Bottom