Inaonekana umemkamua mhindi kwelikweli aisee....atalanta sijui nikupe zawad gani toka nimekuamini serie A hujawahi niangusha acha kwanza nkale monde afu nakua mshabiki wako rasmi
Pesa ziko nyingi mnoeuropa wanagawa ela jamani huku
Hiyo game naisubilia hata mm kesho serengeti light crate itahusika mkuu...Naona Marseille na arsenal washafanya yao.nangoja atletico nilijilipua 3.6 odds.[emoji122]
Hao inapendeza ukiwapa over 1.5 mkuuWakuu ivi Napoli na Leipzig watatoa (BTTS) kweli?
konte fala sanaMICHIIIIIIIIIIIIII, Chelsea wametoa Mbuzi wakapewa Karunguyeye
3+. Sikljui kwa nini Nabii Tito hakutupa maonoFT over 1.5
Usilolijua ni kama usiku wa giza.
![]()