Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

atalanta sijui nikupe zawad gani toka nimekuamini serie A hujawahi niangusha acha kwanza nkale monde afu nakua mshabiki wako rasmi
Inaonekana umemkamua mhindi kwelikweli aisee....

Leo na mm nyota sio mbaya sana.... mambo yako motooo sema jana mhindi alinifanya kitu moja mbaya sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…