farah hassan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 492
- 370
Leo ni win either halves
Bayern
Barcelona
Ayr
Paok
Fernabache
Odds 3+
Bayern
Barcelona
Ayr
Paok
Fernabache
Odds 3+
Geniously repliedMkuu tambua cash out au sell odd inategemea na mwenendo wa mechi na jinsi ulivyoplace bet yako...
kwahiyo basi kama mwenendo wa mechi ni mzuri ukilinganisha na jinsi ulivyobet utalipwa higher
Mfano ulibet over 2.5 goal kwenye mechi husika halafu mechi ipo dakika 30 na magoli mawili yameingia, hapa utalipwa pesa kubwa sababu muda ulibaki ni mwingi na libaki goli moja ili bet yako iwe won
Kwenye case ya kulipwa kidogo hii hutegemea mechi imefika dakika ya ngapi na je tukio ulilotabiri linaweza kutokea katika hizo dakika chache zilizobaki?
Mfano ulibet over 9.5 corner, na mechi imefika dk 89 ikiwa na corner 2 tu hapa ukicash out utalipwa kidogo au usilipwe kabisa...
NB: kwa case hizo mbili utaona cashout inategemea na muda times posibility ya tukio ulilotabiri kutokea....
Ulianzia kwanza kudeposit kwenye 1xbet na ukapata push msg?Wakuu nimefungua account na 1Xbet Leo saa 6 mchana nikafanya deposit kwa Mpesa muda huo lakini hadi saizi account balance inasoma 0, Ni kawaida kuchelewa hivi ama kutakuwa na tatizo, msaada tafadhali.
Kama una namba ya voda au airtel weka hiyo namba then pesa itaingia kwenye account yako..Kuna njia nyingine ya kuweka Tigopesa kupitia 1xbet? Naona option yakuweka Tigo pesa haipo kama zamani
Yes nilitumiwa push message kwenye namba yangu ya voda niliyotumia kufanya deposit.Ulianzia kwanza kudeposit kwenye 1xbet na ukapata push msg?
Kama ulianza bila kupata push msg haiwezi kukubali mkuu
Hilo tatizo jipya kwangu...vp bado haijaingia tu hadi sasa?Yes nilitumiwa push message kwenye namba yangu ya voda niliyotumia kufanya deposit.
Naona wameirudisha Tigo pesa kwa mara nyingineKama una namba ya voda au airtel weka hiyo namba then pesa itaingia kwenye account yako..
For the time being huwezi deposit kwa tigopesa...
Nishapoteza kama 40k... leo inplay zimenigomea kabisa [emoji20] [emoji20] [emoji20]Bayern...[emoji49][emoji49][emoji49][emoji49][emoji49][emoji49][emoji44][emoji44]
Msaada maelezoHvi kweny x1bet event ya no free kick in 1st 5 mntes inakuaje n zile free kick za nje ya kumi na nane au inakuaje
Free kick zote ni nje ya 18, ndan zinakuwa penalty kweny betting yoyote sio 1x tuHvi kweny x1bet event ya no free kick in 1st 5 mntes inakuaje n zile free kick za nje ya kumi na nane au inakuaje
Mi naona mapicha tu inplay ya Leo, kila nkiweka wengine wanaharibu dk ya 95Nishapoteza kama 40k... leo inplay zimenigomea kabisa [emoji20] [emoji20] [emoji20]