Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nimefungua account na 1Xbet Leo saa 6 mchana nikafanya deposit kwa Mpesa muda huo lakini hadi saizi account balance inasoma 0, Ni kawaida kuchelewa hivi ama kutakuwa na tatizo, msaada tafadhali.
Hii itakuwa M-Lipa..
Mimi nikikosa e-lipa huwa siweki mpunga....
 
Sijakuelewa hapa kiongozi unaweza fafanua kidogo.
Nilimanisha ulifanya malipo kwa njia ya M-Lipa ndio maana pesa haijaingia hawa jamaa wanasumbua sana
Lakini ukifanya kwa E-Lipa pesa ni chap , kwangu isipokuwepo e-lipa huwa siweki pesa...
 
Nilimanisha ulifanya malipo kwa njia ya M-Lipa ndio maana pesa haijaingia hawa jamaa wanasumbua sana
Lakini ukifanya kwa E-Lipa pesa ni chap , kwangu isipokuwepo e-lipa huwa siweki pesa...
e lipa kwa pale kwny deposit method unawpata wap mkuu
 
Naomba msaada wa namna ya kuitumia bonus kwenye kulipia mkeka kwenye 1xbet
Nenda setting kwa chini huku utakuta wameandika bonuses, click hapo itatokea Main account na bonus account, chagua bonus account, rud weka mikeka yako
 
Bonus ya 1xbet udwanz sana walinipa bk 5 nikaizingusha mara 3 kama anavyotaka nkala 50,000. Si wameniwekea ile ile buku 5 kwe main account
 


INPLAY MNY N THX LORD LTR
WEKA OV 3.5 /4.5 APOEL

WEKA ZILIZOBAKIA OV 3.5 N THX LORD FOR THE NICE WEEKEND..B BLSD
 
Huddersfield Town - Manchester Utd

Over(1.5)

Eibar - Barcelona

Over(1.5)

Wolfsburg - Bayern Munich

Over(1.5)

PSG - Strasbourg

Over(1.5)

Vitesse Arnhem - SBV Excelsior

Over(1.5)

Breda - AZ Alkmaar

Over(1.5)

PSV - SC Heerenveen

Over(1.5)

Benfica Lisbon - Boavista FC

Over(1.5)

SV Zulte Waregem - AS Eupen

Over(1.5)

Club Brugge - KRC Genk

Over(1.5)

Fenerbahce - Alanyaspor

Over(1.5)

Brechin City - Falkirk

Over(1.5)

Ayr Utd - East Fife

Over(1.5)

Peterhead - Berwick Rangers

Over(1.5)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…