Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]jamaa kajibu kwa hisia kalii
Nimetuma pesa siku mbili zilizopita hadi leo hajaingia wanadai nisubiri hadi Jumatatu, Wakinipa naitoa naenda zangu 1Xbet
 
Nimetuma pesa siku mbili zilizopita hadi leo hajaingia wanadai nisubiri hadi Jumatatu, Wakinipa naitoa naenda zangu 1Xbet
1xbet nao kuboko wametulia na pesa yangu hadi Leo, yaani ukiweka ikizingua wakikwambia usubiri ujue imeenda hyoo!! Maana wanajibu kiboya katka email hakuna cha maana, Luna siku wakatuma kuwa hatuoni pesa wakati walisema Sikh chache kuwa kweli kiasi fulani hakikuingia !!
Nawaogopa hatari japo wapo vizur niliweka jmos hii wiki ya3[emoji1] [emoji1]
 
Hapo ni kuomba tu Mungu ukidepost uwe una Withdraw tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…