Mjinga sana hata Shoot On Target hana.Nilimpa ashinde either half keshapigwa 2 ngoja nifanye namna ya kutengeneza mkeka nikomboe japo mpunga niliobetia
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Kuwa na Imani unajua akipata bao moja anabaki kusaka mawili na inawezekana kabisa***** kuanzia leo niache kubet tu huu ni udwanzi.![]()
Leo asiposhinda ataharibu biashara mapema sana.... Itabidi half time awe na japo goli moja anaweza jitutumua akashinda kipindi cha piliMjinga sana hata Shoot On Target hana.
Yah, Nilikopi mkeka wa Mtaalamu mmoja humu ila nashindwa kuelekewa siku napokopi inaharibika nikipuuza baadae naanza kuona watu wanashukuru wamepata mpunga.Leo asiposhinda ataharibu biashara mapema sana.... Itabidi half time awe na japo goli moja anaweza jitutumua akashinda kipindi cha pili
Ndio inavyokuaga hivyo mkuuu... siku huwa hazifanani but anaweza akashinda tuwe na imaniYah, Nilikopi mkeka wa Mtaalamu mmoja humu ila nashindwa kuelekewa siku napokopi inaharibika nikipuuza baadae naanza kuona watu wanashukuru wamepata mpunga.
Dah! kama huna bahati huna tu mhindi huwa ananinyanyasa mno[emoji13] [emoji13] [emoji13] Kuwa na Imani unajua akipata bao moja anabaki kusaka mawili na inawezekana kabisa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kakugeuza uwanja wa Mazoezi.Dah! kama huna bahati huna tu mhindi huwa ananinyanyasa mno
Kwani washaanza?Madri na Atletico[emoji120][emoji120][emoji120]please
Ngoja nisubiri nikipata mpunga nibet Makhirikhiri (Hockey)Ndio inavyokuaga hivyo mkuuu... siku huwa hazifanani but anaweza akashinda tuwe na imani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nisubiri nikipata mpunga nibet Makhirikhiri (Hockey)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah mhindi mchawi sana tena nasikia mhindi ni mdogo wake na Nabii tito.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kakugeuza uwanja wa Mazoezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Team imejaa mashoga iyo yanakata mauno tu
Nilikuwa sijui naombeni jamani tuorodheshe timu zenye mashoga tuzijue kwanza.Team imejaa mashoga iyo yanakata mauno tu
Badoo mzeeKwani washaanza?
Bado Option moja tu ambayo najua siku ikiletwa itakuwa poa sana, Option ya Kuulizwa "Utaliwa au Utakula 20 Odds.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah mhindi mchawi sana tena nasikia mhindi ni mdogo wake na Nabii tito.