Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna siku ilee ya Napoli Nliambiwa nicashout 20000 nikajikutaa nundaa...daaah siji kusahau...!! Akasepaa na pesa yotee...na 50 nlikuwa naitolea mate ikasepaa
 
Kuna siku ilee ya Napoli Nliambiwa nicashout 20000 nikajikutaa nundaa...daaah siji kusahau...!! Akasepaa na pesa yotee...na 50 nlikuwa naitolea mate ikasepaa
Nimekumbuka Jana walikuwa wananisisitiza ila nikawa kichwa ngumu baadae wakabeba kwa hasira
 
Yanii nlikuwa namuelekeza mtu kubet nkaweka mkeka daah...!! Naomba tu ukubali..maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji27]
 
Yanii nlikuwa namuelekeza mtu kubet nkaweka mkeka daah...!! Naomba tu ukubali..maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji27]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo utapigwa na kitu chenye ncha kali kichwani, Kiherehere chote kiishe.
 
Hahahaaaaa kweli baby vyuma vimekaza....usikimbie majukumu
Skimbii bby nmekupa mtaji
Ili nipunguze majukumu kidogo
C unajua school fee's,kod ya pango
Lunch,dinner,brekfisrt n juu yang bby

Kwa hyo saloon,vikoba,wanja,
Pambana na mhind
 
Skimbii bby nmekupa mtaji
Ili nipunguze majukumu kidogo
C unajua school fee's,kod ya pango
Lunch,dinner,brekfisrt n juu yang bby

Kwa hyo saloon,vikoba,wanja,
Pambana na mhind
Hapana me namkamua mhindi na wewe unakuwa second bet...
nawakamua wote...kuoa mchaga ni changamoto πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…