Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inamaana Nakukunda mkeka wake bdo unapumua? Yaan mnashindwa na dem [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado timu 3 tu mkuu 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂
 
Skimbii bby nmekupa mtaji
Ili nipunguze majukumu kidogo
C unajua school fee's,kod ya pango
Lunch,dinner,brekfisrt n juu yang bby

Kwa hyo saloon,vikoba,wanja,
Pambana na mhind
Oya tayar umenichukulia nakukunda wangu? Wakat nasubiri mkeka wetu uleee tugawane hapa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo utapigwa na kitu chenye ncha kali kichwani, Kiherehere chote kiishe.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji33]yanii afuu ashafungwa 1 sema Mungu mkubwa
 
Teja junior lete mkeka mwingine huu Gent tayari kashafanya alichoagizwa na muhindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…