usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,103
Wakat huo huo mm naombaHapa naomba atletico na celtic washinde either half....
ATL lipatikane gol la mguu
Walau moja Ila co penalty
Wakat huo huo mm naombaHapa naomba atletico na celtic washinde either half....
Mimojalaaina zoteWakat huo huo mm naomba
ATL lipatikane gol la mguu
Walau moja Ila co penalty
hii kazi ngumu sanaWakat huo huo mm naomba
ATL lipatikane gol la mguu
Walau moja Ila co penalty
Mkuu kuwa na amani griezman au costa hatokuangusha kabisaWakat huo huo mm naomba
ATL lipatikane gol la mguu
Walau moja Ila co penalty
Yeah ndo nachotamaniNaona wanashambulia tuombe wapate goal moja tu.... maana hao jamaa wakifunga kusawazisha inakuwa ngumu sana
Dhaaa Kila mmojaMimojalaaina zote
Costa wameshaanza usengeMkuu kuwa na amani griezman au costa hatokuangusha kabisa
Goal number (1) scored by kickinghakuna option rahisi ktk kubet kama ipo itaje
hahaha mkuu hiyo option isinhepewa odds ya 1.5 kama ingekua rahisi.Goal number (1) scored by kicking
Yule jamaa ni tukutu ila huwa linafunga ndio ninachompendea.....Costa wameshaanza usenge
Wake ameshalambwa yellow
Huko
Hii game kuna 70% ya read card
Yaaah jamaa anajua Ku score ttz n utukutu akonaoYule jamaa ni tukutu ila huwa linafunga ndio ninachompendea.....
Ngoja tuone mambo yataendaje mkuu
Kashindaa 1-0View attachment 697585 napoli huwa haeleweki ***** zake
2half 2+ zimemxidaKashindaa 1-0
Leo hata over 3+ imenishindaView attachment 697585 napoli huwa haeleweki ***** zake
Pesa iko mfukoniMkuu nipe feedback ya huu mkeka na me nianze kuchez io option