chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Kweli Tottenham kupigwa ndo Leo nimeamini uchawi upo aisee daaaaaah kanji haya unayotufanyiaaa daaah
gg ipo hapo na atashindaHii betting sasa too much...jamani Spurs naye anakosa na normal kwa hii team ya league 1 du
kachomoa tayari 1-1....soon anawinTotnhm nilimuweka kwenye mikeka yangu yote dalili siioni hapa ngoja nilale
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Heshima kwako kanji
Cna la zaid
Tumuombe Mungu mkuu...kachomoa tayari 1-1....soon anawin
Kama mm tu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuh tot akifa hii game sina kitu tena mikeka yote chaliiii
kampuni gani ilijichanhanya kiasi chote hichoHii mechi ilikuwa na odds 16 10minutes X na sasa hivi ni dakiaka ya 17 bado siamini kama nimekula
Monchengladbach vs Borussia Dortmund
Yeye na huyu galatasray niliwapa washinde either half naona wanakata viuno tu muda unazidi kwendaKama mm tu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Princess bet mkuu, nilitaka nichanganye na matimu mengine ila nikaamua niipandie yenyewe kama yenyewekampuni gani ilijichanhanya kiasi chote hicho
Hahaaaaa eti wanakata viuno lol....cool down bana u will make itYeye na huyu galatasray niliwapa washinde either half naona wanakata viuno tu muda unazidi kwenda
haiwezekani labda ni timu fulani ishindeHii mechi ilikuwa na odds 16 10minutes X na sasa hivi ni dakiaka ya 17 bado siamini kama nimekula
Monchengladbach vs Borussia Dortmund
Una ngekewa mkuuATL Madrid kashanipa ushindi namsubiri Ajex bado dakika tano nae anihesabie ushindi