Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Option hii INA hela hatari Leo nimevuna faida nzuri sana
YAANI HAWA WATU SIJUI WALIFIKIRIA NINI KWANI MPIRA UNACHEZWA KWA MIKONO?
Hapo advantage yao n kuwa
First gol likiwa n la own gol,
Penalty,head Huwa hawalihesabu

Hapo ndo unakua umelose
 
700af5adcff9f76b5e42855c04b75cd6.jpg
 
Kipigo cha mhindi kinawafanya wachanganyikiwe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ugali+ mchele mbichi
 
Back
Top Bottom