theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Kaka tume miss mikeka ya supu [emoji2] [emoji2] [emoji2]HABAR ZA JION WAKUU
Leo kuna hii mechi ya Italy
"Lazio vs Verona"
Hii mechi naiona kabisa ikitoa
"GOAL 1 SCORED BY KICKING- YES"
Odds: 1.56
KWANINI NASEMA HIVO?
Hii ni kwasababu ya Tabia ya ufungaji magoli was timu zote mbili.
1.LAZIO
Lazio ameshafunga magoli 59 mpk hv sasa.
Kati ya magoli yote hayo 59, magoli 53 ameyafunga by kicking.
Hii ni sawa na yeye kufunga magoli yake 89.83% by kicking
2. VERONA
Verona mpk hv sasa ameshafunga magoli 22.
Kati ya magoli yote 22, magoli 20 ameyafunga by kicking
Hii ni sawa na yeye kufunga magoli yake 90.9% by kicking
HITIMISHO
Hii mechi inauwezekano mkubwa sana wa goli la kwanza kufungwa by kicking.
Pia hii mechi sidhani kama itaweza kukosa goli lolote litakalofungwa by kicking.
USHAURI:
Unaweza kubet kama ifuatavyo
1. GOAL 1 SCORED BY KICKING
Chagua,
Goal 1 scored by kicking-yes
Odd: 1.56
Stake: weka stake kubwa kwa single bet
AL MAALUM KWA MAJASIRI
2. GOAL SCORED BY KICKING-YES
Chagua,
Goal scored by kicking-yes
Odds: 1.17
Stake: weka stake kubwa sana kwa single bet
AL MAALUM KWA WAOGA
****MAPAMBANO YANAENDELEA****
Jana tothnm katuua aiseMechi siku zote NASEMA,
Until the final whistle
ufaransa bado sana cheki PSG yenyewe inapumulia mashine ambaye ndio tegemeziSiria A tim 4 UEFA[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Bado ufaransa
Karibu tena mkuu uliadimika sana...hopefully uko salamaHABAR ZA JION WAKUU
Leo kuna hii mechi ya Italy
"Lazio vs Verona"
Hii mechi naiona kabisa ikitoa
"GOAL 1 SCORED BY KICKING- YES"
Odds: 1.56
KWANINI NASEMA HIVO?
Hii ni kwasababu ya Tabia ya ufungaji magoli was timu zote mbili.
1.LAZIO
Lazio ameshafunga magoli 59 mpk hv sasa.
Kati ya magoli yote hayo 59, magoli 53 ameyafunga by kicking.
Hii ni sawa na yeye kufunga magoli yake 89.83% by kicking
2. VERONA
Verona mpk hv sasa ameshafunga magoli 22.
Kati ya magoli yote 22, magoli 20 ameyafunga by kicking
Hii ni sawa na yeye kufunga magoli yake 90.9% by kicking
HITIMISHO
Hii mechi inauwezekano mkubwa sana wa goli la kwanza kufungwa by kicking.
Pia hii mechi sidhani kama itaweza kukosa goli lolote litakalofungwa by kicking.
USHAURI:
Unaweza kubet kama ifuatavyo
1. GOAL 1 SCORED BY KICKING
Chagua,
Goal 1 scored by kicking-yes
Odd: 1.56
Stake: weka stake kubwa kwa single bet
AL MAALUM KWA MAJASIRI
2. GOAL SCORED BY KICKING-YES
Chagua,
Goal scored by kicking-yes
Odds: 1.17
Stake: weka stake kubwa sana kwa single bet
AL MAALUM KWA WAOGA
****MAPAMBANO YANAENDELEA****
Kuna timu zinajuaa kukongaa nyoyooo.. MADRID ANAONGOZAAA...Ittihad Tanger kanikosha dakika 90 wakati nikiwa nimekata tamaa
Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
Tupo pamoja mkuuMkuu uwepo sasa sio utukimbie bhana.
Ha ha ha...Kaka tume miss mikeka ya supu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Natumaini umerudi rasmi maana wengine huku tangu upotee huku hali si shwari gurudumu linakuwa linaenda kwa kuyumba sana.....Ha ha ha...
Nmewamiss pia.
Tuko pamoja mkuu
Friend request acceptedNaomba niwe rafiki yako[emoji1] [emoji12]