theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Huyo namfahamu vizuri kuna mkeka fulani hivi humu naona unaenda ku tickAliye niambia Ahly nimwangalie kwa jicho la kulembua cheki anavyo nyanyasa huko.![]()
Huyo namfahamu vizuri kuna mkeka fulani hivi humu naona unaenda ku tickAliye niambia Ahly nimwangalie kwa jicho la kulembua cheki anavyo nyanyasa huko.![]()
Huu mkeka naona upo karibu ku tick![]()
Wadau huu mkeka nikiliwa kuanzia leo kubet basiiiiiii.
huyo anaecheza nae yupo nafasi ya mwisho kwenye ligi na Ahly yao ni ya kwanza so unaunganisha matukio tuAliye niambia Ahly nimwangalie kwa jicho la kulembua cheki anavyo nyanyasa huko.![]()
Tayar hapo juudaaah mkuuu shushaaa mizingaaaa tuuuu tuuufuateeee
Mzee ulienda kuongeza jiko la pili?Ha ha ha...
Nmewamiss pia.
Tuko pamoja mkuu
MKEKA WA PESA No.1
Odds: 2.229
Stake: 75,000 Tsh
Marejesho: 167,175 Tsh
Mapambano yanaendelea
View attachment 698255
Ha ha ha...Mzee ulienda kuongeza jiko la pili?
Dah,dah go ahead na mwezie naona washazingua hapaView attachment 698266
NgojaLEO HAPO WAZEE
ZAMALEK SC WIN
AL AHLY CAIRO (1.5 OVER)
MANCHESTER CITY (2.5 OVER)
LAZIO (2.5 OVER)
IF ELFSBORG (1.5 OVER)
95% unatick mkeka huuNgoja
Tumsubiri
ManCity
Na
Lazio
Hyo sio bonus nahsi n ile VAT ambayo inaongezwa kwko kama bonusHIYOO BONUS HAPOO NAIPATAJEE WAKUUUU...!!????? Anaejua plz
Aaha ok mkuu... Hapo sasa nimeelewaHyo sio bonus nahsi n ile VAT ambayo inaongezwa kwko kama bonus
Alafu ukiona unasita sehem jua hiyo tim inaenda kufanikiwa,
Hapoo poaa mkuu..kweli bhnaa!! Pamoja sanaaHyo sio bonus nahsi n ile VAT ambayo inaongezwa kwko kama bonus
Nilitaka kuongezea mmoja mwingne akanitisha hawezi betia tim za Africa, nibora kutoa mawazo na sio kumcrash mtu direct nilitaka kumuongeza Ahli ambae ameshinda.Sikuzote jiwe zuri hupigwa mawe m nikaifwataa..nkaongeza mbili nasubiria kamoja bilambe supu yakeshooo
..