HABAR ZA JION WAKUU
Leo kuna hii mechi ya Italy
"Lazio vs Verona"
Hii mechi naiona kabisa ikitoa
"GOAL 1 SCORED BY KICKING- YES"
Odds: 1.56
KWANINI NASEMA HIVO?
Hii ni kwasababu ya Tabia ya ufungaji magoli was timu zote mbili.
1.LAZIO
Lazio ameshafunga magoli 59 mpk hv sasa.
Kati ya magoli yote hayo 59, magoli 53 ameyafunga by kicking.
Hii ni sawa na yeye kufunga magoli yake 89.83% by kicking
2. VERONA
Verona mpk hv sasa ameshafunga magoli 22.
Kati ya magoli yote 22, magoli 20 ameyafunga by kicking
Hii ni sawa na yeye kufunga magoli yake 90.9% by kicking
HITIMISHO
Hii mechi inauwezekano mkubwa sana wa goli la kwanza kufungwa by kicking.
Pia hii mechi sidhani kama itaweza kukosa goli lolote litakalofungwa by kicking.
USHAURI:
Unaweza kubet kama ifuatavyo
1. GOAL 1 SCORED BY KICKING
Chagua,
Goal 1 scored by kicking-yes
Odd: 1.56
Stake: weka stake kubwa kwa single bet
AL MAALUM KWA MAJASIRI
2. GOAL SCORED BY KICKING-YES
Chagua,
Goal scored by kicking-yes
Odds: 1.17
Stake: weka stake kubwa sana kwa single bet
AL MAALUM KWA WAOGA
****MAPAMBANO YANAENDELEA****