Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

393b7481c239e9788b603e11a785471e.jpg
wadau hapo vipi nataka niweke hela ya luku
 
Yanii me siku nkiona nishaliwa mapema mkekaa... Aisee jitahidi utuliee tuu uache siku ipite...!! Yanii ukianza kuliwaa kulaa siku hiyo Probability yake ni ndogo maana unabet hujatulia kabisa yana...
Nilikuja kurudisha pesa yangu. Nikampa Marseile Dortmund na Madrid. Nikaweka 13000 nikatoka 48k. Mtaji ukarudi
 
Wakuu nimejaribu 1xbet kudeposit waniwekee EURO sasa walivonipa push SMS amount ina point na MPESA haiwez tuma point nikakadiria Sasa Nilivofanya ivo hawajaingiza pesa tena Daa ndo sielew Hapa sijui inakuaje kuna aliyewah kudeposit kwa other currency ani assist please
 
Ukiwa makini 1x ni kampuni bora zaid tunao bet kibongo bongo tatizo ni la hawa 3rd parties i.e M lipa hawa ndio longo longo
Optn bwerereeeee ni mwendo wa kupga pesa tu uku!!
Hiv hiz option za home tm to win atleast half na home tm to win either hlf kuna tofaout au zpo sawa
 
Habari, kiwango cha mwisho cha kudeposit premierbet ni shingapi?. Msaada tafadhali!
 
Back
Top Bottom