rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Walinambia nimepewa bonus kama 5000 hivi ilaa siiioni kwenye acc yangu!??Hiyo bonus unapewaje mkuu??
Walinambia nimepewa bonus kama 5000 hivi ilaa siiioni kwenye acc yangu!??Hiyo bonus unapewaje mkuu??
Yes they are the sameHiv hiz option za home tm to win atleast half na home tm to win either hlf kuna tofaout au zpo sawa
Hmmm we Jamaa ume chaguaje Euro sasa!!??Wakuu nimejaribu 1xbet kudeposit waniwekee EURO sasa walivonipa push SMS amount ina point na MPESA haiwez tuma point nikakadiria Sasa Nilivofanya ivo hawajaingiza pesa tena Daa ndo sielew Hapa sijui inakuaje kuna aliyewah kudeposit kwa other currency ani assist please
mkuu ninahitaji account ya Euro ya TSH tayar ninayo unaweza kuwa na account nyingi uwezavyo wew tuHmmm we Jamaa ume chaguaje Euro sasa!!??
Ndo maana Pesa zina potea wakat mwngne
Emb rud kweny A/C yako chek kweny setting kama una weza ku edit some info check kweny currency type weka
Tshs!!
Kwamba ni rahisi kwa both team to score au kilichokuvutia ni hizo odds?WANDUGU ANGALIENI HIYO BOTH TEAM TO SCORE NAHISI MUHINDI KAJICHANGANYA WALE WA M-BET FURSA HIYO
HIYO NGOMA NI GG TRUST MEKwamba ni rahisi kwa both team to score au kilichokuvutia ni hizo odds?
Kwanini una uhakika hivyo?HIYO NGOMA NI GG TRUST ME
OK MI NAHISI TU KA VIP ACHANA NAYO NILIKUWA NATOA TAARIFA TUKwanini una uhakika hivyo?
Jamaa sijui kapatwa na nini aiseeHizo utakuwa unakula crates.... bestie cha msingi ni commitment n focus hakuna kinachoshindikana.....
Hapa ndani utakutana na wababe wabashsha odds za maana.... Ila kuna mtabe mmoja DeepPond nilikuwa natembelea nyota yake sana mpaka leo sijui jamaa yupo wapi tangu aondoke nimeyumba kiasi....
Iko playstore andika princess bet itakuja pale ..... then tukutane kesho or j4 kupiga pesa ya mhindi...
Kama zipo tofauti yake itakuwa hivi:Hiv hiz option za home tm to win atleast half na home tm to win either hlf kuna tofaout au zpo sawa
ThnxYes they are the same
Hapana kaka nilikua nahitaji justification tu kuna unayo ila sio mbaya umetupa dokezo tuweze kuitazama kwa jicho la tatu....vp Leipzig unawazungumziaje leo kwa GG ndio ipo kwenye akili yangu hiyoOK MI NAHISI TU KA VIP ACHANA NAYO NILIKUWA NATOA TAARIFA TU
ngoja niandike kwa herufi kubwaWANDUGU ANGALIENI HIYO BOTH TEAM TO SCORE NAHISI MUHINDI KAJICHANGANYA WALE WA M-BET FURSA HIYO
Zipo mbilingoja niandike kwa herufi kubwa
HIYO NI BOTH TEAMS TO SCORE IN SECOND HALF
SASA WEWE JICHANGANYE
ok nimeona mkuuZipo mbili
@deeppond kawa adimu sana....Jamaa sijui kapatwa na nini aisee