Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Getafe CF v Celta de Vigo

Totals 1.5 - Over

1.29

Lazio Roma v Hellas Verona

3 Way - 1

1.23

CD Tondela v Sporting CP

3 Way - 2

1.43

Blackburn Rovers v Bury FC

3 Way - 1

1.53

Leo natoka hivi.....
 
33c0d3051ac6c5eb43ea5fa4ef3a7dbe.jpg

Wadau huu mkeka nikiliwa kuanzia leo kubet basiiiiiii.
yaani ww umebet direct win afu unaona kama umefamya best ktk beting yako ...hadi unatoa kiapo
 
unapigwa sababu unabet direct win!!kumbuka direct win ni hatari sana kwa beting yako
Inategemeana... Yanii kuna siku na siku.. Jana celtic kashindwa kufunga hata Goli mojaa yani... Sasa hapoo inakuwaje..
 
Ukimpa alternative utakua umemsaidia zaidi
aah hajaomba ila mm najibu post yake kwamba asipokula leo anaacha kubet!kuangalia option alizoweka kumbe ameweka direct win sasa hapo utasema mdau ana uhakika wa kuwin au kabahatisha tu
 
Sometimes mtu unabet mkek mgum mpaka unaogopa kuutupia humu maana raia watakukatisha tamaa mapema
 
Back
Top Bottom