Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Acha kunitamanisha basi nawaz heinken tu hapa
Hizo utakuwa unakula crates.... bestie cha msingi ni commitment n focus hakuna kinachoshindikana.....

Hapa ndani utakutana na wababe wabashsha odds za maana.... Ila kuna mtabe mmoja DeepPond nilikuwa natembelea nyota yake sana mpaka leo sijui jamaa yupo wapi tangu aondoke nimeyumba kiasi....
 
Na me nikiweza nitakuwa natembelea nyota za watu tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom