Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,266
AhahahhCha msingi hicho si unajua watu nyota zetu nyingine za bundi [emoji2] [emoji2] [emoji2]
AhahahhCha msingi hicho si unajua watu nyota zetu nyingine za bundi [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji3][emoji3]Kama mimi[emoji12]
Hahahaaaaa nimecheka sana...watu walidharau mkeka wa demu mchana...nimetuma mnicopy mkakataa...JokinNakukunda anatubuliza watu huku na kende zao.... [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaaaaa nimecheka sana...watu walidharau mkeka wa demu mchana...nimetuma mnicopy mkakataa...JokinNakukunda anatubuliza watu huku na kende zao.... [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Lisifungwe goli ndani ya dk 10 baada ya mpira kuanzaHyo option ina mana gan
Na me nikiweza nitakuwa natembelea nyota za watu tu hakuna namna
Kweli mkuukwa hawa wageni ndio inawafaa mbet
AikambeAikaaa MONOWAMAA KYORE CHA RUWA
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kuadimika wapii kwahiyo ningeweza kubet na kutembelea nyota yako ningekuwa napunwa tu na muhindiWewe toda umeadimika mhindi ananipuna tu itakuwa nyota ya ushindi wangu ipo kwako
Ahahhah ngoja niwezeTembelea ya nakukunda anayo ile ya chips mayai au kuku
ila hapa umefika utajua kila kitu kuanzia double chance, under/over, direct win, 3way, in play, bet win/lost and everything muhimu uwe tayari na unachotaka kukifanyaKule kwenyewe sina nilichoelewa
BET WON No.1View attachment 697396
Odds 2.075
Ahahhah ngoja niweze
Nimeona Avatar yako huku nilikuwa napita vijiweni tu.Vipiiiiii
yup!Kweli mkuu
Mimi naweza normal na both team score na ndo hizo zinanipa ulaji.....hizo nyingine sijui corner..sijui double nini...sielewi hata kiduchu japo najifunzaKama unajua kusoma bhasi amini umeweza kama ulivyoweza kutumia smartphone
hapo kwenye kona kuna pesa ya nje nje muhimu uzijue timu na styles zao za uchezajiMimi naweza normal na both team score na ndo hizo zinanipa ulaji.....hizo nyingine sijui corner..sijui double nini...sielewi hata kiduchu japo najifunza