Nakukunda
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 875
- 1,647
Shida mimi hata timu sizijui..ndo maana naogopa option za kiufundi kama hizohapo kwenye kona kuna pesa ya nje nje muhimu uzijue timu na styles zao za uchezaji
wiki nzima nimemchapa muhimu thru kona isipokuwa leo tu juve kaua