Nakukunda
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 875
- 1,647
Kashafika 2-0 bbyEeeh bby ongeza maombi
Kashafika 2-0 bbyEeeh bby ongeza maombi
Ungependa kitumia application gani kati ya hizi princess.... meridian... 1xbet...Asamte sana best
Nimeamua kutoka na huu... nimejilipua 16k tuone kama utazaa matunda maana kule totnham na galatasray wameninyima mpunga wa nguvu....pole mkuu mimi nasonga mdogo mdogo na high odds
Mbona nilishadownload m bet sijui bada ya kuona sielewi nikaifutaUngependa kitumia application gani kati ya hizi princess.... meridian... 1xbet...
Ila ningekushauri uwe na 1xbet na princess maana humu ndani wadau wengi wanazitumia....
Leo umeingiza kiasi gani kwa kibubu mkuu...[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nalala now na mpunga wa kanji leo...
Shunii mamboNimekuja kutembea kidogo na kushangaa kwenye jukwaa lenu
Daah nakukunda Una hatariiiiii sanaa..!!Leo nalala na faida ya 58,000
Hapo nimeshatoa mtaji...hiyo faida tu...mliokosa leo msikate tamaa...lets fightLeo nalala na faida ya 58,000
Pouwa za weweShunii mambo
Aisee hivi nikiweza mm nitatoka kweli hukuHapo nimeshatoa mtaji...hiyo faida tu...mliokosa leo msikate tamaa...lets fight
Shunie na huku upo?Aisee hivi nikiweza mm nitatoka kweli huku
Daah umemgonga mhindi... sio mchezo nikikuhesabia faida ya jana na leo umepata mshahara wa mwalimu wa nursery [emoji2] [emoji2] [emoji2]Leo nalala na faida ya 58,000
Huku sipo nimekuja tu kusalimia Ila natamani kujuaShunie na huku upo?
Utaweza tu.......me napenda ndo maana nafanya...Aisee hivi nikiweza mm nitatoka kweli huku
Unatoka tu unaweka stake ndefu timu zako mbili then wewe unafanya kuagiza crate unasubilia mkwanja wakoAisee hivi nikiweza mm nitatoka kweli huku