Nakukunda
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 875
- 1,647
Niko tayari kukuelekeza vzr kabisaHakukimbiii mamy
Niko tayari kukuelekeza vzr kabisaHakukimbiii mamy
Mimi kaka zangu na beib zangu wamenifundisha huku hukuYaan nahisi mpaka nikutane na mtu
Asante chimamyNiko tayari kukuelekeza vzr kabisa
Mpaka raha jamanMimi kaka zangu na beib zangu wamenifundisha huku huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huko nimebaki napambana na 12perfect tu
Mhh Yan mpaka turudYaan nahisi mpaka nikutane na mtu
Ahahah kichwa changu kizito mnoo sasa hivi mtu ukijua unakuja huku kupiga chaboMhh Yan mpaka turud
chekechea
Eeeh bby ongeza maombiJamaa kaanza vizuri
Haa haa haa itabd nkufunzeAhahah kichwa changu kizito mnoo sasa hivi mtu ukijua unakuja huku kupiga chabo
won hii tiari porto 2 -0View attachment 697654
mkeka wa pili kutoka mwisho! May the Almighty God bless it.
Naomba Mungu anisaidie Yeth lottah kafanya kazi kubwa mnoo mpaka nimejisajiri na app nilikua nayo kichwa kizito na kuifuta nikaifutaHaa haa haa itabd nkufunze
Week 1tu utakua mwalimu kama
Nakukunda
pole mkuu mimi nasonga mdogo mdogo na high oddsMkuu jana na leo nyota yangu imegoma kabisa.... nishapoteza 30k ila nimeweka mkeka wa kulalia japo nirudishe mkwanja nilio betia....
Ila weekend hii ilikuwa hovyo
Karibu sana tutakuwa pamoja white make sure una copy n paste mikeka ya watabe humu ndani.... Halafu epuka kuweka timu nyingi huku unaweka timu zako 3 mpaka 4 za uhakika unaweka stake ya manaa utavuna pesa si haba [emoji4] [emoji4]Natamani na me ningejua Yeth lottah kanielekeza wee wapii yaan natakiwa niwe na mtu karibu hivi nahisi tutaenda sawa
Asamte sana bestKaribu sana tutakuwa pamoja white make sure una copy n paste mikeka ya watabe humu ndani.... Halafu epuka kuweka timu nyingi huku unaweka timu zako 3 mpaka 4 za uhakika unaweka stake ya manaa utavuna pesa si haba [emoji4] [emoji4]
Mkuu leo naona nyota imekuwakia.... mambo yako moto kwa upande wako