Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilisema hivi kuwa Wigan mnamchukulia kibonde?
Nikaambiwa nitulieee Wigan hawezi kufurukuta kwa man city
Mm mwenyewe nlkuw upande wako mkuu japo kuwa nliwapa over 1.5 na hawakutoa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Good morning kanji ila nashukuru huo mkeka alio uchana city Deep pond alinirudishia pesa yangu.
 
getafe kesha kung'utwa kadi huu uchambuzi ni hatari sana.

ila mkuu bado fumbo langu hujalifumbua ni website ipi inatoa uchambuzi wa kadi faulo na mengine kama hayo? nimefuatilia sofascore sijaona statistics kama hizo
Sofascore zipo, ila in lazima upitie mechi baada ya mechi kuweza kuona.

Nenda kwny mechi husika.

Click kwny timu husika,
Then utaletewa details zote mpk za kocha wnyw.

Km ni suala la foul, yellow cars n.k

Nenda kwny sehem imeandkwa "matches"
Afu ingia kwnyw "statistics"

Utayakuta mambo yote hayo unayouliza.

In hayo tu mkuu
 
Pamoja
Mkuu
Haya
Leo
Tunatokaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…