Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Kea mfano mkuu Mimi na jiamini Sana najua ku bet ila Kuna muda mapenzi na bahati na kosa so nakuja jukwani kuomba ushauri muongo ila unona kabisa watu wako online Wana post wana vuka maombi yako wnakera ila ndo hivyo mkuu binadmu tuna choyo na ubaguzii sana wakati sisi humu sote lengo letu kanjii akaee tuinue vipatao.betting is a serious business Mimi Kuna watu wazima wa heshima hi ndo kazi yao na wanasomeashaUnacho kisema nichakweli alafu kunatabia ukiweka mkeka hata iwe direct win mtu anaanza kukuponda aiseee.