Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

991dfa59f909f16e09b961cf4fecadeb.jpg
Asante kwa kunipa mahari
 
Ahsante Getafe na Celta kwa wachezaji wenu waliotoka benchi kutokufunga bao
Ahsante Eintracht bao la kusawazisha kufunga kwa mguu
HATIMAYE 1XBET NIMEKUWA MTUMWA WAO KAMILI SIO KWA OPTION HIZI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakuu poleni sana.....

Naona city na sporting wameharibu upepo.

Haina haja ya kukata tamaa.

This, is football.
This is betting.
Anything can happen at any time.

Kikubwa shkuru mungu kwa matokeo hayo.
 
Wakuu poleni sana.....

Naona city na sporting wameharibu upepo.

Haina haja ya kukata tamaa.

This, is football.
This is betting.
Anything can happen at any time.

Kikubwa shkuru mungu kwa matokeo hayo.
Sporting kashinda mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wakuu poleni sana.....

Naona city na sporting wameharibu upepo.

Haina haja ya kukata tamaa.

This, is football.
This is betting.
Anything can happen at any time.

Kikubwa shkuru mungu kwa matokeo hayo.
Kesho naanza tembelea nyota yako mkuu....
 
Back
Top Bottom