Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

KUMEKUCHA WAZEEEEEEEEEEE WAKUBETI BEBA ZINAZO FAA PIA KUJIONGEZA MUHIMU
SIO LAZIMA UKOPI MAZIMA UNAWEZA CHANGE KIDOGO

==================================
BRENTFORD VS. BIRMINGHAM CITY (BRENTFORD WIN)
ASTON VILLA VS. PRESTON NORTH END (1.5 OVER)
BAYERN MÜNCHEN VS. BEŞIKTAŞ (2.5 OVER)
TROYES VS. DIJON (1.5 OVER)


 
Kiongozi jaribu kuzipa nafasi hizi options pia; 1/X , 2/X na X/X , hii game iko open sana.
 
Nzurii hii
 
Siachi
Kukufuata
Ngoja
Nitupie
Mzigo
 
Wadau Princessbet mfano match ikiwapostponed wanakulipa ulizoshinda ?mbona sielewi kwenye gawio apo! msaada kidogo ..wataalamu
View attachment 698525
mkuu hongera bana tumekula pamoja naona ulicopy. hata mimi hiyo game imesababisha hela kupungua kidogo. coz ilikuwa na odds 1.4 hiyo match. but si mbaya

mwanzo odds zilifika 8+ but ukipiga hesabu mfano chukua calculator zidisha hizo game zilizosalia odds zinabaki 5+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…