chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
Nakukunda lete vitu
chelsea ungeweka ht/ft 2/1Siyo mbaya kwenye gambling ukimjaribu Khanji even kwa odds 1000, kwa jero ama buku upepo unaweza badilika ukatusua kiutani utani, ngoja njaribu nguvu ya buku2 wadau.
Chelsea FC v FC Barcelona
Champions League UEFA Champions League, Knockout stage
20-02-2018 22:45:
Halftime Fulltime 1/2
24.79
Bayern Munich v Besiktas JK
Champions League UEFA Champions League, Knockout stage
20-02-2018 22:45:
Halftime Fulltime 1/2
100.24
MKUU ILA NILIPOANDIKA NAOMBA NIFWATE JUU ZAIDI KUDAI MZIGO GAFLA NKAAMBIWA SUBIRI DK TANOLeo kuna tatizo kwny kuwithdraw Princessbet? ... nimewithdraw saa 11:51 am, mpk sasa bila bila. Nimechat nao wameniomba namba ya simu na username, wanasema wamelifikisha suala langu kwa technical team.
Napenda kujua km kuna mwingine amepata shinda kuwithdraw Princessbet.

Siyo mbaya kwenye gambling ukimjaribu Khanji even kwa odds 1000, kwa jero ama buku upepo unaweza badilika ukatusua kiutani utani, ngoja njaribu nguvu ya buku2 wadau.
Chelsea FC v FC Barcelona
Champions League UEFA Champions League, Knockout stage
20-02-2018 22:45:
Halftime Fulltime 1/2
24.79
Bayern Munich v Besiktas JK
Champions League UEFA Champions League, Knockout stage
20-02-2018 22:45:
Halftime Fulltime 1/2
100.24
Nakufuata mkuuwadauu Leo nimetoka hivyo mnasemaje![]()
Sawa mkuu ila bado nafanya analysisNakufuata mkuu
Kwa waliokuwa wanatumia GSB, now wamerudisha system ya kudeposit na withdraw kwa mobile money kama zamani
Saaafi saanaKwa waliokuwa wanatumia GSB, now wamerudisha system ya kudeposit na withdraw kwa mobile money kama zamani
Kizuri zaid ni kwamba now hakuna mambo ya beyonic,mlipa wala push message so kesi za pesa kupotea zitakuwa hakuna,Hahaha ... kumbe wamerudi. Nitawacheck weekend.
Kizuri zaid ni kwamba now hakuna mambo ya beyonic,mlipa wala push message so kesi za pesa kupotea zitakuwa hakuna,
coz reference namba ni Acc ID yako
Hiyo gsb ni kitu gani chief...Kizuri zaid ni kwamba now hakuna mambo ya beyonic,mlipa wala push message so kesi za pesa kupotea zitakuwa hakuna,
coz reference namba ni Acc ID yako
Bado Niko uko mpk hv sasaThanks Chief ... ulipotea sn kamanda, au bado ulikuwa Mombasa?