wadau Chelsea v Barca watatoa kona 10 leo??
roho inasita sana leo kubet kona
Mmh mwnyw nafsi inagoma.
Kwny group stage pamoja na laliga.
Hivi karibun barca amekua mchoyo sana wa kutoa corner
Pia chelsea, naye hamtumii Victor moses kupiga cross za pemben.
Skuhz namuona mosses akiingia deep kusupply mipira tofaut na zamani alivokua akikimbilia kwny flanks kupiga cross.
Pia Chelsea kwny game ya Leo sidhani kama atashambulia sana.
Nnawasiwasi wakacheza sn mpira katikati.
Maana Chelsea atacheza kwa tahadhari zaidi ya kutokubali kutanua sana ILI asiruhusu kufungwa magoli mengi nyumbani.
Pia tusisahau kua hawez jiachia km alivozoea kucheza na kina liver,arsenal au man utd
Sana sana atacheza kwa kutambua kua barca ni timu kubwa tofauti na timu alizozoea uko EPL
Pia kwa kutambua kua barca INA watu hatar km iniesta, messi&Suarez wanaoweza kumjeruhi wkt wowote na kwa style yoyote akijisahau.
Kwahyo
Chesy anawz kuattack kwa kuvizia loose balls ILI apeleke mashambuliz ya kushtukiza kupitia katikati anakozagaa sana hazard na willian.
Hii inaweza pelekea uhaba wa corner.
Pia barca hatojiachia sana maana Chelsea kuna watu km kina hazard,William na pedro ambao ni wazur sn was counter attacks.
Nae anaweza cheza sn katikati ILI asipoteze mechi away, ikawe rahisi kumalizia shughuri camp nou.
Hii game corner sidhani, inafaa sana kuibetia offside
Maana hizo lazima zitakua nyingi sababu za kuviziana kwa timu zote mbili
Na pia wote ni manguli wa offside kwny ligi zao pamoja na uefa
Chelsea EPL yuko nafas ya kwanza kwa kuotea offside
Chelsea uefa yuko nafas ya 4 kwa kuotea offside
Barca laliga yuko nafas ya pili kwa kuotea offside
Barca uefa yuko nafas ya saba kwa kuotea offside