Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Lens vs clerment
Draw

Asian handcap
Hull city 0

Strastbourg 0

O'higggins 0

Away win
O'higgins

Away win
Monterrey

Goodluck
 
Akhisar Bld.Geng U21 2 - 0 Konyaspor U21 kama una roho kama yangu. weka magoli mengi kipindi cha pili hapa odds 5/ over 4.5
 
nimefuatilia nikaona kuna makampuni mwengi na mengi yakilalamikiwa ss sijafahamu ipo bora na rahisi kutumia mkuu
Bora ni hizi 1xbet, premier bet, pricence bet na play master bet. Unaweza kuchagua unayoona inakufaa zaidi
 
nimefuatilia nikaona kuna makampuni mwengi na mengi yakilalamikiwa ss sijafahamu ipo bora na rahisi kutumia mkuu
usifate ya kuambiwa. ndo mana nimekwambia anza na jero jero kupata uzoefu. tamaa weka kando hii shughuli ngumu mno asikudanganye mtu. ukianza kuweka mizigo utakata tamaaa mapema
 
Melbourne Knights 2 - 1 Oakleigh Cannons 2nd half most goals done bahati mbaya kanji hakuiweka live
 
Naona hii kazi sina bahat nayo kabisaaaaaaa yaan jana kunamamtu niliyapa under 3.5 yellow cards dakika ya 71 na yalikuwa hayana card et yakazitoa faster faster em nitulie kwanza maana unaweza kufa na kiholo cha maisha sijui ss wengne hatuna bahati! AaaaaaaH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…