Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndo maana nikiwapiga hela nzuur faster na withdraw maana Nina wasi wasi kama wanapata faida
Iyo ni kampuni kubwa iko mda mrefu unaposhinda ww kuna wengine wanapigwa mamilioni per day. Tena iko karibia mabara yote kwa sasa
EUROPE: Europa League - Play Offs
21:05AC Milan - Ludogorets
Tip: Correct Score 2:0

EUROPE: Europa League - Play Offs
19:00Atl. Madrid - FC Copenhagen
Tip: Correct Score 2:0

Adanaspor AS 1 - 0 Adana Demirspor tumewooon mkuu

booom

Wameshafungwa ila bado tu wanapga back passes utadhan wanaongoza wao.

Hii tabia nmekua nkiishuhudia kwa PSG, nkaiona tena kwa Monaco.

Leo nmeiona tena kwa nice.

Nmekoma kuzibetia gg timu za ufaransa zikishatanguliwa goli.

nimecheza in play kona 6.5 under game ya Nice wakati naplace bet kona zilikuwa 2 tu muda huo ni dakika ya 60 baada ya kuplace tu nikasema ngoja nikaangalie maendeleo nakuta Nice wameongeza kona mbili nikajuta kwanini nilibet that's why siku-share sababu risk ilikuwa kubwa sana......finally kona zilikuwa 6.5 under

Thanks Lord
2 odds

saudia arabia but achana nayo kwanza

Leo maisha magumu, Nice kashanichania,, na namuona mpuuzi flan akishindwa kutoa Corner 7


Shkamoo kanji
 
Back
Top Bottom