Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yea nadhani kuna kaugumu kwa kampuni ya betting kutoa pesa ya mtu iliyotumwa na kampuni ya simu ktk akaunti yake. Mfano : Premierbet kutoa pesa kutoka ktk akaunt ya mteja wao na kumpa mteja mwengine waka transaction za pesa zilifanywa na Voda, airtel ama tigo.
So unataka kuniambia nishukuru mungu tu!?
Hakuna uwezekano wa kuipata tena pesa yangu!?
 
yellow1.gif
Al-Jazeera 1 - 0 Al-Baq's

try this aljazeera 3+/gg
3+ booom
 
Leo maisha magumu, Nice kashanichania,, na namuona mpuuzi flan akishindwa kutoa Corner 7
 
HT FC Viktoria Plzen 0 - 0 Partizan Belgrade..... DeepPond si umeona hao jamaa kama nilivyokuambia wanaweza kabisa wasipate yellow card mbili, huwezi amini mpaka HT hawajacheza foul sijui iko kipindi chapili
 
Back
Top Bottom