Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Team zao huwa sio za kuzituma pesa**bet lost****
Hizi timu za kifaransa shwaini sana.
Team zao huwa sio za kuzituma pesa**bet lost****
Hizi timu za kifaransa shwaini sana.
Hilo nalo nenodkk 10 nyingi sana mpirani
Timu ya kijinga sn hiiView attachment 700053 nice ***** zenu
Ndio hapa nataka nijue mahali ofisi zao zipo niwatimbieusiachie pesa kizembe wakomalie hawa wajinga
Wameshafungwa ila bado tu wanapga back passes utadhan wanaongoza wao.Team zao huwa sio za kuzituma pesa
Mkuu Kwanini unataka utoe kwa vocha?Hivi wadau kutoa pesa kwa vocha ktk princess bet huchukua muda gani?
Ahsante mkuu, lakn ndio unataka kuniambia hawana mamlaka yoyote yale, so pesa za wateja wao usalama ni mdogo ikitokea dharura kama hii!?Hapo maana yake iyo pesa imeingia ktk akaunt ya mtu mwenye iyo ID....kesi ngumu sana hii, pole mkuu
Nilitoa kupitia apps yao nlitaka kutoa kwa tigo pesa, sasa ile apps yao maandishi yamebebana nasubir pesa hiingi Kuwa uliza wanasema umetoa kwa vocha so nisubiri kwa miezi kadhaa, ni kweli hii?Mkuu Kwanini unataka utoe kwa vocha?
Yea nadhani kuna kaugumu kwa kampuni ya betting kutoa pesa ya mtu iliyotumwa na kampuni ya simu ktk akaunti yake. Mfano : Premierbet kutoa pesa kutoka ktk akaunt ya mteja wao na kumpa mteja mwengine waka transaction za pesa zilifanywa na Voda, airtel ama tigo.Ahsante mkuu, lakn ndio unataka kuniambia hawana mamlaka yoyote yale, so pesa za wateja wao usalama ni mdogo ikitokea dharura kama hii!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] pole mkuuWameshafungwa ila bado tu wanapga back passes utadhan wanaongoza wao.
Hii tabia nmekua nkiishuhudia kwa PSG, nkaiona tena kwa Monaco.
Leo nmeiona tena kwa nice.
Nmekoma kuzibetia gg timu za ufaransa zikishatanguliwa goli.
Nishamkalisha.Leoo dalili sio nzurii hiziii..