Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Ooooh asante uyo mshenzi aliyengia sub kachana mkeka dk ya 94 dahCermaik na kremanic majina magum [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ooooh asante uyo mshenzi aliyengia sub kachana mkeka dk ya 94 dahCermaik na kremanic majina magum [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaingia 87 kachana 94 pole blood[emoji109]Ooooh asante uyo mshenzi aliyengia sub kachana mkeka dk ya 94 dah
Ni kama alitumwa kuchana tuKaingia 87 kachana 94 pole blood[emoji109]
Thanks God...Thank you Guys...gniteBet won
Uko vizuri....Thanks God...Thank you Guys...gnite
Hatar sana aiseeeeNi kama alitumwa kuchana tu
****Bet wooon****In play
Mechi ya arsenal
Goal 1 by kicking
Odds 1.5
Hii option ipo kampuni gani?????****Bet wooon****
Hii kazi ni ngum mnoUkiambiwaa Betting ni Ngumuu huwa tunamaanisha hivyoo..mamaeee
Baba achaa tuu.. Kupata odd za uhakika kabisaa ni ngumu...Hii kazi ni ngum mno
Haa ha..yani mikekaa hapo sijui kama kuna utakaoponaa..!! Labda wa magoli ila wengi na uhakika walimpa direct win..Wenga[emoji16][emoji23] kashachezea 2-0
Nimepasahau Premierbet1XBET lazima watujute watanzania