Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Me nadhani kulima ni kugumu kuliko kubet...nilitumia 6m kulima kitunguu nikapata gunia 55 na jamaa akafunga mipaka...so bei ikawa ya hasara zaidi....so bora tubet tu hata mahindi bei haipandi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Haa ha ha..vip na leo imetikiii nin nakukunda??!
 
Zenit naiona drw AMA HME win
2-1/2-2
CS
Waliofwata cs

2-1
[HASHTAG]#booooooooooom[/HASHTAG]

be5af6d8ed3e5671b74daa26adaac8dd.jpg
 
Me nadhani kulima ni kugumu kuliko kubet...nilitumia 6m kulima kitunguu nikapata gunia 55 na jamaa akafunga mipaka...so bei ikawa ya hasara zaidi....so bora tubet tu hata mahindi bei haipandi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hivi ww ndio dem wake kanji?
 
Haa ha..yani mikekaa hapo sijui kama kuna utakaoponaa..!! Labda wa magoli ila wengi na uhakika walimpa direct win..
Wakati naanza kuweka mikeka nkafungua nakuona maandiko ya deep Mara arsenal shah aisee nilishamweka mmoja iliobakia nkasema najiongeza NA OV 1.5 mwingine 2.5 isipotoka poa
 
Game ya arsenal uwezekano mkubwa was kutoka drw....kama unakabuku wahii kujisitiri
 
Back
Top Bottom