DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Ha ha ha...Arsenal anawatakia usiku
Wee jamaa nkiona avatar yako najikuta tu nmeshacheka
Hata kabla ya kusoma ulichoandika
Ha ha ha...Arsenal anawatakia usiku
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahaaaaa haya bana..mimi nasali kanisa la washindi.......imani yako tu unakuwa na wewe mshindi
Wakuu,HABAR ZA MCHANA WAKUU
Zifuatazo ni timu za kuepuka kuzipa direct win au over 2.5 kwa siku ya Leo
1. Arsenal
Huyu hafai maana Tayar keshawin 3-0 away
Pia jumapili anagame ngumu na Man city
2. Ac Milan
Huyu nae keshawin 3-0 first leg
Pia ana game ngumu jumapili na Roma alafu akiwa ugenini
3.Real sociadad
Uyu alitoa sare ya 2-2 first leg
Pia ana game ngumu jumapili na Valencia
Ukzingatia Redbull Salzburg ndo timu inayoongoza kwa cleansheet hivi sasa.
Hyo game inawza kua na magoli machache sn
4. Marseille
Uyu nae first leg alishinda 3-0
Jumapili ana game ngumu sana na PSG
5. Athletico Madrid
Uyu alishashinda 4:1 away
Pia jumapili anagame ngumu akicheza away kwa sevilla.
6. Celtic
Uyu alishashinda 1:0 home
Leo yuko away na timu imara sana home ground zenit st.peters
Pia ana game ngumu akicheza away na Aberdeen (nafas ya 3)
7.Atalanta
Uyu nae anamfurulizo wa game ngumu tatu mbele yake,
Vs juve(ligi), vs juve(coppa Italia), vs sampdoria (ligi)
Nna imani atalanta lazima atapambana na asifungwe.
Na ikitokea ameshinda basi utakua ni ushindi mwembamba sn.
Ila Hyo game nnahisi inawz kua na magoli machache pia.
Maana anaangalia zaid moto ulio mbele yake ni zaid ya moto huu utakao waka kwa Leo.
Ni Hayo tu
****MAPAMBANO YANAENDELEA****
Pole mkuuWashenzi sana hao, niliwaomba kona 5 HT, naona wameniharibia kazi nzuri iliyofanywa ktk mechi ya Marseille na Salzburg.... Bora hata ningemuomba Arsenal hizo kona
Mi huwa nacheka sana aiseee nikiiona ataendelea kupgwa na kanji kwasababu ya avatarHa ha ha...
Wee jamaa nkiona avatar yako najikuta tu nmeshacheka
Hata kabla ya kusoma ulichoandika
Hapo umeongea aiseeThen wadau katika siku zangu chache tangu nimeanza kubet...nimekuwa nikiangushwa n timu maalufu kama Man U n.k..nadhani zinakuwa na upinzani mkubwa na matokeo yake huwa hayatabiriki...so tuendelee kubet underground machi.......hiyo ndo analysis yangu unaweza kutumia na ikakusaidia...Gnite
Mkuu ulitumia option ganBaada ya Atalanta na BVB dakika 5 za kwanza kunipa 62k
Nahamia in play sasa
1x bet app naipata wapiPole sana,
Komaa na betting
Jins Siku znavokwenda unazd kugain experience
Na unaongeza chance ya kupga pesa
App yao naipata wapi?1XBET lazima watujute watanzania
Chini kabisa..App yao naipata wapi?
Na kasalimia watu kweli pimbi yule... Point kidogo bado kazingua vile vileArsenal anawatakia usiku
Mbona wananiletea hiviChini kabisa..
Mkuu tumia browser nyingine mfano mozila ,uc browser,chrome n.kMbona wananiletea hivi![]()
Wakuu najisajili 1×bet imefika sehemu ya kuweka currency, niweke ipi,msaada plz
Tanzania shillingsWakuu najisajili 1×bet imefika sehemu ya kuweka currency, niweke ipi,msaada plz