Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Okay naangaliaje idadi ya corner ya mechi zilizopita? Maana score huwa naangalia soccerway
Mimi natumia goal live ...on top of the screen kulia kwako Kuna tarehe na siku bonyeza buttorn ya kurudi nyuma Hadi alhamisi ya week iliyopita then click match moja moja then click statistics halafu angalia sehemu ya corner!!hope utapata mwangaza mie siyo mzuri Sana wakuelekeza
 
Wakuu kabla huja place stake yako na bet yako ....Leo Ni siku ya kuwa makini Sana Kuna team zimeshafuzu,Madrid,arsenal bilibao,halafu Wana game muhimu weekend waangalieni vizurii kwa jicho la tatu Napoli inaonekana amewekeza Sana kwenye league naye siwakumfuata kabisa
Hilo jambo LA msingi sana.

Namuona Wenger akichezesha kikosi cha 3 Leo.
Game ikiisha under 3.5

Namuona athletico M.akicheza kwa kurelax sana, game ikiisha under 2.5
 
Wakuu hii kampuni ya 1×bet pesa hawatuu Tshs.? Maana naona currency za nchi nyingine tuu
 
Mambo ya Kanjiiiiu uwoga wa odd ndio umaskin wa weng
a6f4e3370939d927c6183e7f9ef7a3fc.jpg
2bd2bb0f4be0fb66a860f411b68789f8.jpg
 
fter a short break nirudi Jamvini !!! Naanza hivi

Arsenal 28+
Atletico 28+
Zamalek Dnb2
Atalatanta draw no bet 1 odds 8.24 * 15000
 
Inplay now
Bentleigh Greens v Dandenong Thunder
Tip: Goals 3+
now goals ni 2-1before HT, red card 1 tayari kwa (dandenong)
 
HABAR ZA MCHANA WAKUU

Zifuatazo ni timu za kuepuka kuzipa direct win au over 2.5 kwa siku ya Leo

1. Arsenal
Huyu hafai maana Tayar keshawin 3-0 away
Pia jumapili anagame ngumu na Man city

2. Ac Milan
Huyu nae keshawin 3-0 first leg
Pia ana game ngumu jumapili na Roma alafu akiwa ugenini

3.Real sociadad
Uyu alitoa sare ya 2-2 first leg
Pia ana game ngumu jumapili na Valencia

Ukzingatia Redbull Salzburg ndo timu inayoongoza kwa cleansheet hivi sasa.
Hyo game inawza kua na magoli machache sn

4. Marseille
Uyu nae first leg alishinda 3-0
Jumapili ana game ngumu sana na PSG

5. Athletico Madrid
Uyu alishashinda 4:1 away

Pia jumapili anagame ngumu akicheza away kwa sevilla.

6. Celtic
Uyu alishashinda 1:0 home
Leo yuko away na timu imara sana home ground zenit st.peters

Pia ana game ngumu akicheza away na Aberdeen (nafas ya 3)

7.Atalanta
Uyu nae anamfurulizo wa game ngumu tatu mbele yake,

Vs juve(ligi), vs juve(coppa Italia), vs sampdoria (ligi)

Nna imani atalanta lazima atapambana na asifungwe.

Na ikitokea ameshinda basi utakua ni ushindi mwembamba sn.

Ila Hyo game nnahisi inawz kua na magoli machache pia.

Maana anaangalia zaid moto ulio mbele yake ni zaid ya moto huu utakao waka kwa Leo.

Ni Hayo tu

****MAPAMBANO YANAENDELEA****
 
Habarini za siku nyingi wakuu, nilikuwa kimya sana nafanya utafiti wa jinsi gani wenye mitaji midogo tutakuwa tunaingiza pesa kupitia betting nikapata idea flani

Idea hii nine plan kama itafanya kazi kila mtu ataingiza kiasi cha 312,000 kila baada ya siku 10

Sasa tunaipataje hii? Ilo ndio swali kila MTU kajiuliza haraka haraka.
OK kazi ipo ivi niliandaa scheme lakini kila Niki upload inagoma ngoja niiandike tu ilivyo

Kwanza tunatakiwa tupate option ambayo ni 99% kwenye kila mechi Ila isiwe chini ya odds 1.08, kwanini nasema ivo? Dhumuni ni kwamba kila siku tupate odds 3 tu kwa mkeka mmoja ivo kama ni odds 1.08 kwa mechi 15 jumla ni odds 3.17 (kwa option kama own goal No ingefaa sema yenyewe ni 1.05 odds ivo kufanya idadi ya games per slip kuwa 23)

Sasa twende moja kwa moja kwenye scheme, kikubwa ni kuishinda tamaa ya odds nyingi na kubwa kubwa na mtaji kwa hii project kwa Mimi nimeweka 1000 tu itatosha

ODDS
3 - Each Day

Day 1
Stake 1000*3 odds = 3000
->save 1000

Day 2
Stake 2000*3 odds = 6000
->save 3000

Day 3
Stake 3000*3 odds = 9000
->save 4000

Day 4
Stake 5000*3 odds = 15000
->save 8000

Day 5
Stake 7000*3 odds = 21000
->save 11000

Day 6
Stake 10000*3 odds = 30000
->save 15000

Day 7
Stake 15000*3 odds = 45000
->save 20000

Day 8
Stake 25000*3 odds = 75000
->save 40000

Day 9
Stake 35000*3 odds = 105000
->save 55000

Last Day 10
Stake 50000*3 odds = 150000

Then baada ya safari ya siku 10 tuna chukua pesa ya siku ya 10 tuna jumlisha zote tulizo tunza tunapata jumla 307000.

Da ni pesa nyingi sana kwa MTU mwenye kipato cha chini kuingia kwa siku kumi sasa nimeileta mezani ili tujue tutumie njia gani na options zipi kupata izo odds 3? Maana kwa pesa iyo mwezi wenye siku 30 tunakuwa na 921000 please tuchangieni mawazo ili tuanze kuifanyia hii kazi maana si kazi nyipesi nawasilisha cc DeepPond, farah hassan, troublemaker, Buddy, Koncho na wengine wengi
 
official gal sport member- ask anything about galsport betting
Karibu sana brother.....

Ni vema zaidi tukawa na watu kama nyie kwa ajili ya kutoa information sahihi zaidi juu ya kinachoendelea kwenye kampuni husika nikimaanisha deposit, withdraw, account creation etc

Na ukizingatia gal sports betting kumekuwa na sintofahamu juu ya system yenu ya online deposit

So ni muda mwafaka wa kutujuza kama system imeshakaa sawa ama bado

Karibu mkuu!
 
Back
Top Bottom